12. Wana wa Azgadi, elfu moja mia mbili ishirini na wawili.
13. Wana wa Adonikamu, mia sita sitini na sita.
14. Wana wa Bigwai, elfu mbili hamsini na sita.
15. Wana wa Adini, mia nne hamsini na wanne.
16. Wana wa Ateri, wa wana wa Hezekia, tisini na wanane.
17. Wana wa Besai, mia tatu ishirini na watatu.
18. Wana wa Harifu, mia moja na kumi na wawili.
19. Wana wa Hashumu, mia mbili ishirini na watatu.
20. Watu wa Gibeoni, tisini na watano.