Ezr. 10:8 Swahili Union Version (SUV)

na ya kwamba mtu awaye yote asiyekuja katika muda wa siku tatu, kwa shauri lile la wakuu na wazee, basi aondolewe mali zake zote, akatengwe yeye mwenyewe na mkutano wa uhamisho.

Ezr. 10

Ezr. 10:1-17