35. na Benaya, na Bedeya, na Keluhi,
36. na Wania, na Meremothi, na Eliashibu,
37. na Matania, na Matenai, na Yaasu.
38. Na wa wana wa Binui; Shimei,
39. na Shelemia, na Nathani, na Adaya,
40. na Maknadebai, na Shashai, na Sharai,
41. na Azareli, na Shelemia, na Shemaria,