31. Na wa wana wa Harimu; Eliezeri, na Ishiya, na Malkiya, na Shemaya, na Shimeoni,
32. na Benyamini, na Maluki, na Shemaria.
33. Na wa wana wa Hashumu; Matenai, na Matata, na Zabadi, na Elifeleti, na Yeremai, na Manase, na Shimei.
34. Na wa wana wa Bani; Maadai, na Amramu, na Ueli,
35. na Benaya, na Bedeya, na Keluhi,
36. na Wania, na Meremothi, na Eliashibu,
37. na Matania, na Matenai, na Yaasu.
38. Na wa wana wa Binui; Shimei,
39. na Shelemia, na Nathani, na Adaya,
40. na Maknadebai, na Shashai, na Sharai,
41. na Azareli, na Shelemia, na Shemaria,
42. na Shalumu, na Amaria, na Yusufu.