Ezr. 10:19 Swahili Union Version (SUV)

Nao wakatoa ahadi ya kwamba wataachana na wake zao; na kwa kuwa walikuwa na hatia, wakatoa kondoo mume kwa hatia yao.

Ezr. 10

Ezr. 10:12-21