Eze. 7:22 Swahili Union Version (SUV)

Tena nitaugeuza uso wangu usiwaelekee, nao watapatia unajisi mahali pangu pa siri; na wanyang’anyi wataingia humo na kupatia unajisi.

Eze. 7

Eze. 7:13-23