Eze. 45:24-25 Swahili Union Version (SUV)

24. Naye atatengeneza sadaka ya unga, efa moja kwa ng’ombe, na efa moja kwa kondoo mume, na hini moja ya mafuta kwa efa moja;

25. katika mwezi wa saba, siku ya kumi na tano ya mwezi, katika sikukuu atafanya vivyo hivyo kwa muda wa siku saba; sadaka ya dhambi vivyo hivyo, na sadaka ya kuteketezwa vivyo hivyo, na sadaka ya unga vivyo hivyo, na mafuta vivyo hivyo.

Eze. 45