Eze. 42:20 Swahili Union Version (SUV)

Alipima pande zake zote nne; lilikuwa na ukuta pande zote, urefu wake mianzi mia tano, na upana wake mianzi mia tano, ili kupatenga mahali palipo patakatifu, na mahali palipo pa watu wote.

Eze. 42

Eze. 42:13-20