Eze. 41:4 Swahili Union Version (SUV)

Akaupima urefu wake; dhiraa ishirini, na upana wake, dhiraa ishirini, mbele ya hekalu; akaniambia, Hapa ndipo mahali patakatifu kuliko kila mahali.

Eze. 41

Eze. 41:1-14