Eze. 40:34 Swahili Union Version (SUV)

Na matao yake yaliuelekea ua wa nje; na mitende ilikuwa juu ya miimo yake, upande huu na upande huu; tena palikuwa na madaraja manane ya kuupandia.

Eze. 40

Eze. 40:28-40