Eze. 40:22 Swahili Union Version (SUV)

Na madirisha yake, na matao yake, na mitende yake, kipimo chake ni sawasawa na kipimo cha lango lililoelekea upande wa mashariki; nao hupanda kwa madaraja saba; na matao yake yalikuwa mbele yake.

Eze. 40

Eze. 40:12-23