Eze. 40:17 Swahili Union Version (SUV)

Ndipo akanileta mpaka ua wa nje, na tazama, palikuwa na vyumba, na sakafu iliyofanyizwa kwa ule ua pande zote; vyumba thelathini vilikuwako juu ya sakafu ile.

Eze. 40

Eze. 40:10-24