Eze. 38:21 Swahili Union Version (SUV)

Nami nitaita upanga, uje juu yake katika milima yangu yote, asema Bwana MUNGU; nao upanga wa kila mtu utakuwa juu ya ndugu yake.

Eze. 38

Eze. 38:12-23