Eze. 38:11 Swahili Union Version (SUV)

nawe utasema, Nitapanda juu niiendee nchi yenye vijiji visivyo na maboma; nitawaendea watu wanaostarehe, wanaokaa salama, wote wakikaa pasipo kuta, ambao hawana makomeo wala malango;

Eze. 38

Eze. 38:4-20