Eze. 35:1-2 Swahili Union Version (SUV) Tena neno la BWANA likanijia, kusema, Mwanadamu, kaza uso wako juu ya mlima Seiri, ukatabiri juu yake,