Eze. 30:26 Swahili Union Version (SUV)

Nami nitawatawanya Wamisri kati ya mataifa, na kuwatapanya kati ya nchi mbalimbali; nao watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA.

Eze. 30

Eze. 30:19-26