Eze. 28:17 Swahili Union Version (SUV)

Moyo wako uliinuka kwa sababu ya uzuri wako; umeiharibu hekima yako kwa sababu ya mwangaza wako; nimekutupa chini, nimekulaza mbele ya wafalme, wapate kukutazama.

Eze. 28

Eze. 28:14-26