Eze. 23:16-18 Swahili Union Version (SUV)

16. Na mara alipowaona aliwapendelea, akatuma wajumbe kwao hata Ukaldayo.

17. Na watu wa Babeli wakamwendea katika kitanda cha mapenzi, wakamtia unajisi kwa uzinzi wao, akatiwa unajisi nao, kisha roho yake ikafarakana nao.

18. Basi alifunua uzinzi wake, na kufunua uchi wake; ndipo roho yangu ikafarakana naye, kama ilivyofarakana na umbu lake.

Eze. 23