Eze. 20:26 Swahili Union Version (SUV)

nami nikawatia unajisi kwa matoleo yao wenyewe, kwa kuwa walipitisha motoni wote waliofungua tumbo; ili kuwafanya kuwa ukiwa, wakapate kujua ya kuwa mimi ndimi BWANA.

Eze. 20

Eze. 20:24-35