Eze. 18:7 Swahili Union Version (SUV)

wala hakumdhulumu mtu, bali amemrudishia mdeni wake rehani yake, wala hakumnyang’anya mtu mali yake kwa nguvu, naye amewapa wenye njaa chakula chake, na kuwavika nguo walio uchi;

Eze. 18

Eze. 18:4-11