Eze. 18:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Neno la BWANA likanijia tena, kusema,

2. Je! Maana yake ni nini hata mkatumia mithali hii katika Israeli, mkisema, Baba wamekula zabibu mbichi, nao watoto wakatiwa ganzi la meno?

Eze. 18