Eze. 14:1-3 Swahili Union Version (SUV)

1. Ndipo baadhi ya wazee wa Israeli wakanijia, wakaketi mbele yangu.

2. Ndipo neno la BWANA likanijia, kusema,

3. Mwanadamu, watu hawa wametwaa vinyago vyao na kuvitia mioyoni mwao, nao wameweka kwazo la uovu wao mbele ya nyuso zao. Je! Ni laiki yangu niulizwe na wao katika neno lo lote?

Eze. 14