Eze. 11:7 Swahili Union Version (SUV)

Basi Bwana MUNGU asema hivi; Watu wenu waliouawa, ambao mmewalaza katikati yake, hao ndio nyama hiyo, na mji huu ndio sufuria; lakini ninyi mtatolewa nje kutoka katikati yake.

Eze. 11

Eze. 11:1-16