Eze. 11:17 Swahili Union Version (SUV)

Basi nena, Bwana MUNGU asema hivi; Nitawakusanya ninyi toka kati ya kabila za watu, na kuwakutanisha toka nchi zile mlizotawanyika, nami nitawapeni nchi ya Israeli.

Eze. 11

Eze. 11:16-25