Est. 7:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Basi mfalme na Hamani walikuja kula karamu pamoja na malkia Esta.

2. Mfalme akamwambia Esta tena siku ya pili pale pale penye karamu ya divai, Malkia Esta, dua yako ni nini? Nawe utapewa; na haja yako ni nini? Hata nusu ya ufalme utafanyiziwa.

Est. 7