Dan. 5:30-31 Swahili Union Version (SUV)

30. Usiku uo huo Belshaza, mfalme wa Wakaldayo, akauawa.

31. Na Dario, Mmedi, akaupokea ufalme, naye umri wake alikuwa na miaka sitini na miwili.

Dan. 5