Nawe, je! Mbona hunisamehe makosa yangu,Na kuniondolea maovu yangu?Kwa kuwa sasa nitalala mavumbini;Nawe utanitafuta kwa bidii, lakini sitakuwapo.