Ayu. 7:1-3 Swahili Union Version (SUV)

1. Je! Mtu hana wakati wake wa vita juu ya nchi?Na siku zake, je! Si kama siku za mwajiriwa?

2. Kama mtumishi atamaniye sana kile kivuli,Kama mwajiriwa anayetazamia mshahara wake;

3. Ni vivyo nami nimepewa miezi ya ubatili iwe fungu langu,Nami nimeandikiwa masiku yenye kuchokesha.

Ayu. 7