Ayu. 6:1-2 Swahili Union Version (SUV) Ndipo Ayubu akajibu na kusema, Laiti uchungu wangu ungepimwa,Na msiba wangu kutiwa katika mizani pamoja!