Ayu. 40:1-3 Swahili Union Version (SUV)

1. BWANA akafuliza kumjibu Ayubu, na kusema,

2. Je! Mwenye hoja atashindana na Mwenyezi?Mwenye kujadiliana na Mungu, na ajibu yeye.

3. Ndipo Ayubu akamjibu Mungu, na kusema,

Ayu. 40