Ayu. 4:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Ndipo huyo Elifazi, Mtemani, akajibu na kusema,

2. Mtu akijaribu kuzungumza nawe, je! Utaona ni vibaya?Lakini ni nani awezaye kujizuia asinene?

Ayu. 4