Kila ipigwapo baragumu yeye husema, Aha!Naye husikia harufu ya vita toka mbali,Mshindo wa maakida, na makelele.