Ayu. 35:3-5 Swahili Union Version (SUV)

3. Maana wasema, Kutakuwa na faida gani kwako wewe?Tena, Nitapata faida gani, kuliko nikifanya dhambi?

4. Mimi nitakujibu,Na hawa wenzio pamoja nawe.

5. Ziangalie mbingu ukaone;Na mawingu yaangalie, yaliyo juu kuliko wewe.

Ayu. 35