Ayu. 34:1-3 Swahili Union Version (SUV)

1. Tena Elihu akajibu na kusema,

2. Sikilizeni maneno yangu, enyi wenye hekima;Tegeni masikio kwangu, ninyi mlio na maarifa.

3. Kwa kuwa sikio huyajaribu maneno,Kama vile kaakaa lionjavyo chakula.

Ayu. 34