Ayu. 33:3-6 Swahili Union Version (SUV)

3. Maneno yangu yatatamka uelekevu wa moyo wangu;Na hayo niyajuayo midomo yangu itayanena kwa unyofu.

4. Roho ya Mungu imeniumba,Na pumzi za Mwenyezi hunipa uhai.

5. Kwamba waweza, nijibu;Yapange maneno yako sawasawa mbele yangu, usimame.

6. Tazama, mimi ni mbele ya Mungu kama ulivyo wewe;Mimi nami nilifinyangwa katika udongo.

Ayu. 33