Yeye humwomba Mungu, naye akamtakabalia;Hata auone uso wake kwa furaha;Naye humrejezea mtu haki yake.