Ayu. 30:29-31 Swahili Union Version (SUV)

29. Mimi ni ndugu yao mbwa-mwitu,Ni mwenzao mbuni.

30. Ngozi yangu ni nyeusi, nayo yanitoka,Na mifupa yangu imeteketea kwa hari.

31. Kwa hiyo kinanda changu kimegeuzwa kuwa maombolezo,Na filimbi yangu kuwa sauti yao waliao.

Ayu. 30