Ayu. 28:7-9 Swahili Union Version (SUV)

7. Njia ile hapana ndege mkali aijuaye,Wala jicho la tai halijaiona;

8. Wanyama wakali wajivunao hawajaikanyaga,Wala simba mkali hajaipita.

9. Huunyoshea mwamba wa gumegume mkono wake;Huipindua milima hata misingi yake.

Ayu. 28