Ayu. 28:23-26 Swahili Union Version (SUV)

23. Mungu ndiye aijuaye njia yake,Naye anajua mahali pake.

24. Maana anatazama hata miisho ya nchi,Na kuona chini ya mbingu nzima.

25. Apate kuufanyia upepo uzito wake;Naam, anayapima maji kwa kipimo.

26. Hapo alipoiwekea mvua amri,Na njia kwa umeme wa radi.

Ayu. 28