Dhahabu na vioo haviwezi kulinganishwa nayo;Wala kubadili kwake hakutakuwa kwa vyombo vya dhahabu safi.