Ayu. 28:1-3 Swahili Union Version (SUV)

1. Hakika kuna shimo wachimbako fedha,Na mahali wapatapo dhahabu waisafishayo.

2. Chuma hufukuliwa katika ardhi,Na shaba huyeyushwa katika mawe.

3. Binadamu hukomesha giza;Huyatafuta-tafuta hata mpaka ulio mbali,Mawe ya giza kuu, giza tupu.

Ayu. 28