Tazama, hivi ni viunga tu vya njia zake;Na jinsi yalivyo madogo manong’ono tusikiayo katika habari zake!Lakini ngurumo za uweza wake ni nani awezaye kuelewa nazo?