Ayu. 26:1-2 Swahili Union Version (SUV) Ndipo Ayubu akajibu, na kusema, Jinsi ulivyomsaidia huyo asiye na uwezo!Jinsi ulivyouokoa mkono usio na nguvu!