Ayu. 24:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Mbona nyakati zisiwekwe na Mwenyezi?Na hao wamjuao mbona hawazioni siku zake?

2. Wako waziondoao alama za mipaka;Huyachukua makundi kwa jeuri na kuyalisha.

Ayu. 24