Ayu. 23:15-17 Swahili Union Version (SUV)

15. Kwa hiyo naona taabu mbele ya uso wake;Nitakapofikiri, namwogopa.

16. Kwani Mungu ameufanya moyo wangu kuzimia,Naye Mwenyezi amenitaabisha;

17. Maana sikufadhaishwa kwa sababu ya giza,Wala kwa sababu giza kuu limenifunika uso.

Ayu. 23