Ayu. 22:8-10 Swahili Union Version (SUV)

8. Lakini huyo shujaa, nchi ilikuwa yake;Na huyo mwenye kusifiwa, yeye aliikaa.

9. Umewafukuza wanawake wajane hali ya utupu,Na mikono ya mayatima imevunjwa.

10. Kwa hiyo umezungukwa na mitego,Na hofu ya ghafula yakutaabisha,

Ayu. 22