Ayu. 21:33-34 Swahili Union Version (SUV)

33. Udongo wa bondeni utakuwa tamu kwake,Na watu wote watafuata nyuma yake,Kama vile walivyomtangulia watu wasiohesabika.

34. Basi imekuwaje ninyi kunituza moyo bure,Kwa kuwa katika jawabu zenu unasalia uongo tu.

Ayu. 21