Ayu. 21:1-5 Swahili Union Version (SUV)

1. Ndipo Ayubu akajibu, na kusema,

2. Yasikizeni sana maneno yangu;Jambo hili na liwe faraja yenu.

3. Niacheni, nami pia nitanena;Tena nikiisha nena, zidini kudhihaki.

4. Mimi, je! Mashitaka yangu yamhusu mwanadamu?Nami kwa nini nisikose kusubiri?

5. Niangalieni, mkastaajabu,Mkaweke mkono kinywani.

Ayu. 21