Ayu. 2:1 Swahili Union Version (SUV)

Tena kulikuwa na siku hao wana wa Mungu walipokwenda kujihudhurisha mbele za BWANA, Shetani naye akaenda kati yao, ili kujihudhurisha mbele za BWANA.

Ayu. 2

Ayu. 2:1-5