Ayu. 19:5-7 Swahili Union Version (SUV)

5. Kwamba mtajitukuza juu yangu,Na kunena juu yangu shutumu langu;

6. Jueni basi kuwa Mungu amenipotosha,Na kunizingira kwa wavu wake.

7. Tazama, nalia, Udhalimu, lakini sisikiwi;Naulilia msaada, wala hapana hukumu.

Ayu. 19